Ndizi ni tunda lenye Vitamin C kwa wingi faida nyingi mwilini lakini leo nitazungumzia faida kumi tu.
- Ndizi ina uwezo mkubwa wa kuondoa unyongovu au huzuni.
- Ina uwezo wa kurekebisha mfumo wa tumbo
- Ina uwezo wa kupunguza shinikizo la damu na hatari ya ugonjwa wa moyo
- Inasaidia mifupa kuwa imara kabisa
- Kwa mtu mmoja kuna uwezekano wa kupunguza au kuacha uvutaji sigara
- Inasaidia kuzuia upungufu wa damu mwilini
- Inatupatia nguvu kama italiwa kila mara
- Kupunguza maumivu wakati wa hedhi
- Kutupa nguvu ya ubongo
- Kusaidia kuzuia vidonda vya tumbo.
Banana Nutrition FactsServing Size: 3.5 ounces (100 grams), raw | ||
---|---|---|
% Daily
Value*
Amt. Per
Serving | ||
Calories
|
89
| |
Calories from fat
|
3
| |
Total fat
|
0 g
|
1%
|
Saturated fat
|
0 g
|
1%
|
Trans fat
| ||
Cholesterol
|
0 mg
|
0%
|
Sodium
|
1 mg
|
0%
|
Total Carbohydrate
|
23 g
|
8%
|
Dietary Fiber
|
3 g
|
10%
|
Sugar
|
12 g
| |
Protein
|
1 g
|
Vitamin A
| 1% |
Vitamin C
| 15% |
Calcium
| 1% |
Iron
| 1% |
*Percent Daily Values are based on a 2,000 calorie diet. Your daily values may be higher or lower depending on your calorie |
No comments:
Post a Comment