Spinach na limao,mboga za majani zina wingi wa madini ya chuma unapokamulia limao kidogo inasaidia kufyonza madini ya chuma kwa ufanisi zaidi.
Strwaberries na spinach changanya pamaoja tengeneza salad kama una tatizo la upungufu wa damu kwa mchanganyiko huo wa madini ya chuma kutoka kwa spinach na wingi wa vitamin c kutoka kwenye strwaberries utapata damu kwa wingi.
Nyanya na mafuta ya mzeituni kwa mchanganyiko huu inasaidia kupunguza kiwango cha mafuta mwilini,shinikizo la damu na ukuaji wa kansa.
Jibini na yai, mwili unahitaji vitamini D ili kuimarisha mifupa. Kiini cha yai kina vitamin D kwa wingi. Kaanga yai na nyunyizia jibini juu ya yai.
Mchanganyiko huu wa matunda ya blackberries,blueberries strwaberries na raspberries yakichanganywa pamoja yatakupa lishe ya kutosha sana mwilini.
Ndizi na maziwa ya mtindi yanafaa kwa kifungua kinywa chako au mara baada ya mazoezi . Ni mchanganyiko wa pottasium inayopatikana kwenye ndizi na protini inayopatikana kweney maziwa mtindi inasaidia kujenga misuli na kujaza amino acid iliyopungua wakati wa mazoezi ya viungo.
Samaki na unga wenye mchanganyiko wa viungo mbalimbali.Samaki ana madini mengi na shahamu DHA na EPA vikichanganywa vizuri inasaidia kupunguza hatari ya kupata kansa.
No comments:
Post a Comment