Watu wengi wamekuwa wakitumia vinywaji mbalimbali bila kujua kiwango cha kalori na lishe kilichopo kwenye kinywaji husika. Leo nimeona bora nikuletee chart hii ili uweze kuelewa kiwango kwa kila kinywaji. Na kila kinywaji hutofautiana kwa kiwango cha lishe kutokana na ujazo.