- vyakula ambavyo vina wingi wa Omega 3s, vyakula vyenye wingi wa Omega 3s ni kama mafuta ya samaki, maharag, jozi, samaki, spinach nk.
- Maji. Unywaji wa maji kw awingi husaidia kuondoa tatizo la chunusi
- Vitunguu Swaumu na Vitunguu maji
- Asali safi mbichi
- Mdalasini
- Mafuta ya nazi, Maziwa na Maji
- Nafaka zisizokobolewa na mchele wa rangi ya kahawia
- Broccoli
- Maharage
- Kuku wa aina zote
- Mayai
- Vyakula vya bahari kama samaki
- Karanga kwa kiasi kdg zitumike
- Parachichi
- Zabibu nyekundu
- Shamari (ni zao liko kwenye jamii ya karoti)
- Nyanya
- Tikiti maji
- Karoti
- Viazi vitamu.
THIS IS AN EXCEPTIONAL BLOG FOR ANYONE ASPIRING TOWARDS IMPROVED HEALTH AND EXCELLENT BODY FITNESS. IT OFFER ALL KINDS OF POPULAR GYM EXERCISES INCLUDING AEROBIC,BODY BUILDING ETC
Thursday, 22 September 2016
VYAKULA VINAVYOWEZA KUPAMBANA NA TATIZO LA CHUNUSI ZA USO
Kama chunusi limekuwa ni tatizo katika ngozi yako basi leo nimekuletea baadhi ya vyakula ambavyo vinaweza kuwa msaada mkubwa kwako katika kupambana na tatizo la chunusi. Baadhi ya vyakula hivyo ni:-
Subscribe to:
Posts (Atom)