Visunzua hutokea kutokana na seli kukua katika ukuta wa ngozi badala ya seli hizo kuenea kwenye ngozi kwa kiitaalum seli hizo huitwa melanocytes. Nitakueleza baadhi ya vitu vichache ambavyo unaweza kutengeneza mwenyewe nyumbani na vikakuletea matokea yatakayokushangaza.Visunzua hutokea kutokana na seli kukua katika ukuta wa ngozi badala ya seli hizo kuenea kwenye ngozi kwa kiitaalum seli hizo huitwa melanocytes. Nitakueleza baadhi ya vitu vichache ambavyo unaweza kutengeneza mwenyewe nyumbani na vikakuletea matokea yatakayokushangaza.Visunzua hutokea kutokana na seli kukua katika ukuta wa ngozi badala ya seli hizo kuenea kwenye ngozi kwa kiitaalum seli hizo huitwa melanocytes. Nitakueleza baadhi ya vitu vichache ambavyo unaweza kutengeneza mwenyewe nyumbani na vikakuletea matokea yatakayokushangaza.
- KITUNGUU SWAUMU, BAKING SODA NA LIMAO
Menya kitunguu swaumu kisage vizuri kiwe laini kabisa changanya na baking soda kijiko kimoja kisha changanya na limao. Paka mchanganyiko kwenye visunzua ukiweza funga na plasta au bandeji kaa kwa masaa 2-3 kisha osha. Paka mara 3 kwa siku. Ni vizuri kama utalala nayo baada ya muda mfupi utaona matokeo y ajabu.
- GANDA LA NDIZI
Ukimaliza kula ndizi yako hakikisha hutupi ganda kama unatatizo hili la visunzua. Utakachotakiwa kufanya ni kubandika sehemu ya ndani ya ganda la ndizi na ususgue kwenye visunzua mara nyingi uwezavyo kwa siku kisha kata kipande kidogo bandika penye visunzua hivyo kwa kutumia plasta.
Kata kaya vitunguu weka kwenye bakuli changanya na kiasi cha apple cider, viloweke usiku kucha. Asubuhi chukua vibandike kwenye visunzua kwa masaa 4-5 fanya kwa wiki nzima utapenda matokeo ya tiba hii.