Ndizi ni tunda lenye faida nyingi mwilini lakini pia linatumika katika urembo. Ndizi unaweza ukaitumia katika nywele pia lakini leo nitaongelea jinsi ya kutengeneza mask kwa ajili uso. Ndizi ina utajiri mwingi wa madini kama Potassium, Vitamin E na Vitamin C ambayo hufanya ngozi kuwa nyororo na nadhifu.
Chukua ndizi isage vizuri, changanya asali na juisi uliyokamua kutoka kwenye chungwa changanya pamoja,changanya vizuri kabisa kisha pakaa usoni kaa kwa dk.5 baada ya hapo osha kwa maji baridi. Kisha utaona matokeo mazuri.
THIS IS AN EXCEPTIONAL BLOG FOR ANYONE ASPIRING TOWARDS IMPROVED HEALTH AND EXCELLENT BODY FITNESS. IT OFFER ALL KINDS OF POPULAR GYM EXERCISES INCLUDING AEROBIC,BODY BUILDING ETC
Monday, 29 August 2016
VYAKULA VIZURI KWA MOYO
Hakika matatizo ya moyo wanatesa watu wengi ila kuna uwezekano wa kupunguza uwezekano wa kupata matatizo ya moyo kwa kiasi kikubwa kwa kufuata mtindo bora wa maisha, kwa kuzingatia ulaji unaofaa. Hivi ni baadhi ya viungo,matunda na mboga zinazoweza kukusaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza matatizo yatokanayo na moyo.
NAMNA YA KUWA NA AFYA NJEMA
Ili uishi na kuwa mwenye afya njema hakika kuna vitu vya kuzingatia, hakikisha unakunywa maji mengi, unapata muda wa kupumzika vizuri mara baad aya kazi nyingi lakini mazoezi ni muhimu sana kwa mwili wa mwandamu.
FAIDA ZA MDALASINI MWILINI
UNAFAHAMU FAIDA ZA NANASI?
Watu wengi hawafahamu faida za nanasi leo nimeamua kuweka baadhi ya faida za nanasi kama ifuatavyo:-
Subscribe to:
Posts (Atom)