Kwa vidonda vya ndani ya mwili chukua kabichi changanyana karoti pamoja na celery saga pamoja upate juisi na tumia ni tiba nzuri.
Kwa ugonjwa wa baridi ya bisi saga karoti, celery,limao na nanasi. Isage vizuri kwa kutumia blender au juicer pata juisi nzuri tumia utapata matokeo mazuri.
Kwa hangover tumia juisi ya tu, karoti,beet na limao saga kunywa ndio itakuwa mwisho wa hangover.
Kama una tatizo la kuwa na wasiwasi jaribu kutumia juisi ya karoti, celery na komamanga saga pamoja tumia juisi hiyo utaona matokeo mazuri.
Presha ya juu tumia juisi yenye mchanganyiko wa tufaa,beet,tango,tangawizi na celery saga vizuri mpaka upate juisi nzuri kunywa kila mara.
Kwa matatizo ya kuvimbiwa saga juisi yenye mchanganyiko wa nanasi, karoti, mnanaa na limao.
Maumivu ya kichwa tumia juisi ya tufaa, tango,kale,tangawizi na celery.
Kwa matatizo ya mfadhaiko au huzuni tumia juisi yenye mchanganyiko wa karoti, beets,noni,tufaa na spinach
Kwa wenye matatizo ya kisukari tumia juisi yenye mchanganyiko wa karoti,spinach na celery.
Kama unasumbuliwa na pumu tumia juisi yeney mchanganyiko wa tufaa, karoti, limao,kitunguu swaumu na spinach.