Kanuni ya kwanza ni :-
- Kunywa maji kwa wingi soda kwa uchache sana
- Pombe kwa uchache kunywa chai kwa wingi
- Tumia matunda kwa wingi kuliko kiwango cha pipi
- Mbogamboga kwa wingi nyama kwa kiwango kidogo
- Muda mwingi tumia kutembea kuliko kukaa
- Hakikisha hupati hasira mara kwa mara badala yake uwe mwenye furaha na kicheko
- Maneno yawe machache muda mwingi utumike kwa matendo au kazi.
No comments:
Post a Comment