Monday, 29 August 2016

MASK YA NDIZI KWA USO WAKO

Ndizi ni tunda lenye faida nyingi mwilini lakini pia linatumika katika urembo. Ndizi unaweza ukaitumia katika nywele pia lakini leo nitaongelea jinsi ya kutengeneza mask kwa ajili uso. Ndizi ina utajiri mwingi wa madini kama Potassium, Vitamin E na Vitamin C ambayo hufanya ngozi kuwa nyororo na nadhifu.
Chukua ndizi isage vizuri, changanya asali na juisi uliyokamua kutoka kwenye chungwa changanya pamoja,changanya vizuri kabisa kisha pakaa usoni kaa kwa dk.5 baada ya hapo osha kwa maji baridi. Kisha utaona matokeo mazuri.

VYAKULA VIZURI KWA MOYO

Hakika matatizo ya moyo wanatesa watu wengi ila kuna uwezekano wa kupunguza uwezekano wa kupata matatizo ya moyo kwa kiasi kikubwa kwa kufuata mtindo bora wa maisha, kwa kuzingatia ulaji unaofaa. Hivi ni baadhi ya viungo,matunda na mboga zinazoweza kukusaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza matatizo yatokanayo na moyo.


NAMNA YA KUWA NA AFYA NJEMA

Ili uishi na kuwa mwenye afya njema hakika kuna vitu vya kuzingatia, hakikisha unakunywa maji mengi, unapata muda wa kupumzika vizuri mara baad aya kazi nyingi lakini mazoezi ni muhimu sana kwa mwili wa mwandamu.

FAIDA ZA TANGAWIZI KWA AFYA









FAIDA ZA TANGAWIZI KWA AFYA









FAIDA ZA MDALASINI MWILINI

 Mdalasini ni kiungo kizuri sana hutumika kuongeza ladha kwenye vyakula mbalimbali pamoja na vinywaji. Pia mdalasini unatumika kutibu magonjwa mbalimbali kama kuondoa gesi tumboni,kichefuchefu,kutia tumbo joto tumbo lilipoa. Mdalasini unaweza kutumia kuanzia magome yake mpaka mafuta yatakanoayo na mdalasini. Hizi ni baadhi ya tu ya faida za mdalasini. 





FAHAMU VYAKULA VYENYE KIWANGO KIKUBWA CHA PROTINI






UNAFAHAMU FAIDA ZA NANASI?

Watu wengi hawafahamu faida za nanasi leo nimeamua kuweka baadhi ya faida za nanasi kama ifuatavyo:-

Sunday, 28 August 2016

JINSI YA KUMALIZA TATIZO LA VISUNZUA

Tatizo la visunzua au Moles kwa lugha ya kigeni ni tatizo linalowakabili watu wengi, na wengi wetu tumeshindwa kupata suluhisho la tatizo hili hapa nimejaribu kuwaletea tiba ya asili ambayo itaweza kukusaidia kuondokana na tatizo hili.Visunzua ni tatizo la kutoka vinyama vidogo vidogo mwilini, ni tatizo linawakabili wanawake kwa wanaume. Kumekuwa na imani tofauti tofauti kuhusiana na tatizo hili. Inasemekana visunzua hutokana na tatizo la homoni mwilini,unene kupita kiasi, mabadiliko wakati wa mimba na kisukari.
Visunzua hutokea kutokana na seli kukua katika ukuta wa ngozi badala ya seli hizo kuenea kwenye ngozi kwa kiitaalum seli hizo huitwa melanocytes. Nitakueleza baadhi ya vitu vichache ambavyo unaweza kutengeneza mwenyewe nyumbani na vikakuletea matokea yatakayokushangaza.
Visunzua hutokea kutokana na seli kukua katika ukuta wa ngozi badala ya seli hizo kuenea kwenye ngozi kwa kiitaalum seli hizo huitwa melanocytes. Nitakueleza baadhi ya vitu vichache ambavyo unaweza kutengeneza mwenyewe nyumbani na vikakuletea matokea yatakayokushangaza.Visunzua hutokea kutokana na seli kukua katika ukuta wa ngozi badala ya seli hizo kuenea kwenye ngozi kwa kiitaalum seli hizo huitwa melanocytes. Nitakueleza baadhi ya vitu vichache ambavyo unaweza kutengeneza mwenyewe nyumbani na vikakuletea matokea yatakayokushangaza.

  • KITUNGUU SWAUMU, BAKING SODA NA LIMAO


Menya kitunguu swaumu kisage vizuri kiwe laini kabisa changanya na baking soda kijiko kimoja kisha changanya na limao. Paka mchanganyiko kwenye visunzua ukiweza funga na plasta au bandeji kaa kwa masaa 2-3 kisha osha. Paka mara 3 kwa siku. Ni vizuri kama utalala nayo baada ya muda mfupi utaona matokeo y ajabu.

  • GANDA LA NDIZI

Ukimaliza kula ndizi yako hakikisha hutupi ganda kama unatatizo hili la visunzua. Utakachotakiwa kufanya ni kubandika sehemu ya ndani ya ganda la ndizi na ususgue kwenye visunzua mara nyingi uwezavyo kwa siku kisha kata kipande kidogo bandika penye visunzua hivyo kwa kutumia plasta.

  • KITUNGUU MAJI NA APPLE CIDER
Kata kaya vitunguu weka kwenye bakuli changanya na kiasi cha apple cider, viloweke usiku kucha. Asubuhi chukua vibandike kwenye visunzua kwa masaa 4-5 fanya kwa wiki nzima utapenda matokeo ya tiba hii.

UKIWA NA MAUMIVU YOYOTE TUMIA VITU HIVI


TIBA ASILIA YA KUONDOA KIFUA



Kijiko kimoja cha binzari ukichanganya  na maziwa yaliyochemshwa vizuri nimoja kati ya tiba ya kuondoa kifua 

 Kifua ni hali ya inayokera watu wengi kiasi cha kupelekea watu kutumia dawa mbalimbali. Lakini kuna kifua ambacho ni cha kawaida kabisa kwa ajili ya kusafisha koo kutokana na vumbi au moshi. Lakini kama unasumbuliwa na kifua unaweza ukatumia dawa hizi za asili na unaweza kutengeneza nyumbani. Kuwa na asali ndani ya nyumba ni muhimu sana maana ni moja kati ya dawa.

VYANZO VINGINE VYENYE WINGI WA PROTINI



KILA TATIZO LINA TIBA YAKE











TAMBUA JINSI YA KULA CHAKULA KWA NJIA ILIYO SAHIHI

Nimeona picha hizi kwenye mtandao wa Pundit cafe. Nimeona baadhi ya maelezo yanafaa ila unaweza kufwatilia na kuona kama zitakuwa msaada kwenu.










JINSI YA KUPUNGUZA UZITO KWA HARAKA