Sunday, 28 August 2016

TIBA ASILIA YA KUONDOA KIFUA



Kijiko kimoja cha binzari ukichanganya  na maziwa yaliyochemshwa vizuri nimoja kati ya tiba ya kuondoa kifua 

 Kifua ni hali ya inayokera watu wengi kiasi cha kupelekea watu kutumia dawa mbalimbali. Lakini kuna kifua ambacho ni cha kawaida kabisa kwa ajili ya kusafisha koo kutokana na vumbi au moshi. Lakini kama unasumbuliwa na kifua unaweza ukatumia dawa hizi za asili na unaweza kutengeneza nyumbani. Kuwa na asali ndani ya nyumba ni muhimu sana maana ni moja kati ya dawa.

No comments:

Post a Comment