THIS IS AN EXCEPTIONAL BLOG FOR ANYONE ASPIRING TOWARDS IMPROVED HEALTH AND EXCELLENT BODY FITNESS.
IT OFFER ALL KINDS OF POPULAR GYM EXERCISES INCLUDING AEROBIC,BODY BUILDING ETC
Licha ya mazoezi unayofanya kila siku ni muhimu kufahamu vitu vya kula kabla na baada ya mazoezi hayo, maana vyakula hivyo vina mchango muhimu kwa afaya yako. Kwa ajili ya kufurahia na kupata faida ya mazoezi hayo ambayo mara nyingi huchukua nguvu nyingi ya mwili ni vizuri kuwa mwangalifu ni kiasi gani cha chakula utatumia. Hakikisha kabla ya mazoezi yoyote unapata kiasi kidogo cha chakula kitakachokufanya uwe na nguvu wakati wa mazoezi ili kuimarisha nguvu ya misuli yako ili uweze kuchoma kalori nyingi na kuboresha afya ya mwili wako bila tabu yoyote. Hakikisha unakula saa 1-2 kabla ya mazoezi na kisiwe na kalori zaidi ya 300-500 usile chakula mara na kuanza mazoezi. Unaweza ukala ndizi au mkate wa ata (brown bread), oatmeal au viazi vikuu vichache. Baada ya mazoezi hakikisha unakula baada ya dk 20-60 ili mwili wako uweze kurudisha virutubisho vilivyotoka wakati wa mazoezi, hakikisha unachanganya vyakula vya wanga vyenye afya na protini vyenye kalori 400. Vyakula hivyo ni kama:-
No comments:
Post a Comment